baadhi ya wanachama wa TAPSA-RUCU |
Leo tarehe 4/6/2015 ilikuwa ni siku iliyo andaliwa na viongozi wapya wa TAPSA-RUCU kuonana na wanachama wao ili kujua nimipango gani wameiandaa ilikuhakikisha kila mmoja anafaidika na umoja huo.
Viongozi walio chaguliwa wa mwaka 2015/2016 ni kama ifuatavyo.
- M/KITI : Samwel Mussa DPS II.
- MAKAMU/KITI: Ruhuha Migisha J DPS II
- KATIBU: Evalisto Willa DPS I
- MHASIBU: LULU DPS I
- KATIBU MWENEZI: Nani Elkanus N
IFUATAYO NI MHUTASARI WA KIKAO KILICHO FANYIKA SIKU HIYO
RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY
TANZANIA PHARMACEUTICAL
STUDENTS ASSOCIATION (TAPSA)
RUCU-CHAPTER
KIKAO CHA KWANZA CHA
WANACHAMA WOTE WA TAPSA-RUCU, TAREHE 04/07/2015
UTANGULIZI:
- KUANZA KWA SALA: MJUMBE
- KUFUNGUA KIKAO: M/KITI
KUSOMA
AGENDA: KATIBU
- TATHIMINI YA MAHAFALI YA KUWAAGA MWAKA WA TATU 27.06.2015
Baada ya hapo alichaguliwa muwakilishi wa DPS III aliye kuwa Makamu Mwenyekiti wa TAPSA mheshimiwa Daniel Sichwale wa mwaka 2014/2015,yeye pia alitoa shukrani zake za dhati kwa wote walioshiriki kuhakikisha wanafanyiwa sherehe ambayo hawata isahau.
Kisha taarifa fupi ya fedha ilisomwa na Makamu mwenyekiti wa TAPSA mheshimiwa Ruhuha Migisha J,kutokana na kutokuwepo kwa Mhasibu wetu siku hiyo.
Mwisho wa agenda hii wajumbe walitoa maoni yao na kutoa ushauri wapi paboreshwe na makosa yapi yasirudiwe tena.
Miongoni mwa maoni ilikuwa ni:
- kuzingatia fundraising katika sherehe ili kujipatia kipato cha kutosha.
- kuandaa risala itakayoweza kumfanya mgeni rasmi achangie katika mfuko wa chama.
- kuwa na ratiba nzuri itakayo mfanya kila mmoja afaidi sherehe
- kuhakikisha wakati wa sherehe wafamasia hawapotezi identity yao.
- STANDING COMITTEES:
Standing
committees zinafanya kazi kulingana na katiba, lengo ikiwa ni kurahisisha utendaji
kazi katika kuboresha TAPSA.
Katibu wa TAPSA mheshimiwa Evalisto Willa alisoma majina ya watu walio chaguliwa katika kila Commitee kama ifuatavyo.
- STANDING COMMITTEE ON LEGAL AFFAIRS
MEMBERS:
- BABU WADEYA PATRICK (DPS 1)- COUNCILOR
- ELIAKIM MBALA (DPS 1)- MJUMBE
- STANDING COMITTE ON ACADEMICS
MEMBERS:
- BAHATI MESHACK (DPS 2)- COUNCILOR
- NOEL GODSON (DPS 1)- VICE COUNCILO
- MARINA SAPALI (DPS 2)- MJUMBE
- BENITHO KYANDO ( DPS 1)- MJUMBE
- STANDING COMMITTEE ON PHARMACEUTICAL PROMOTION
MEMBERS:
- JACKRINE MSANZI (DPS 2)- COUNCILLOR
- EDGAR DEUCE LEONIDAS (DPS 1)- VICE COUNCILOR
- MANOTA JOSEPH (DPS 1)- MJUMBE
- STANDING COMMITTEE ON INFORMATION AND PUBLICATION
MEMBERS:
- IMANI HENRY (DPS 2)- COUNCILOR
- HASSAN MSUYA (DPS 1)- VICE COUNCILOR
- ALFRENA KOMBA ( DPS 1)- MJUMBE
- STANDING COMMITTEE ON SPORTS AND SOCIAL AFFAIRS
MEMBERS:
- SOSTENES SICHALWE (DPS 2)- COUNCILOR
- GOSBERT CHOGA (DPS 1)- VICE COUNCILOR
- JACKRINE MAGIGE ( DPS 2)- MJUMBE
- NEEMA HENRY ( DPS 1)- MJUMBE
- STANDING COMMITTEE ON PUBLIC HEALTH AND ENVIRONMENTAL ISSUES
MEMBERS:
- CHRISTIAN MBWILO ( DPS 2)- COUNCILOR
- JOHN ANDRONIDAS ( DPS 1)- VICE COUNCILOR
- MARY MALUMBO ( DPS 1)- MJUMBE
- STANDING COMMITTEE ON ECONOMIC STABILITY
MEMBERS:
- SIXBERT WILBROAD (DPS 2)- COUNCILOR
- JOHN RUPIA (DPS 1)- VICE COUNCILOR
- LORNA MDEWA (DPS 2)- MJUMBE
- YVONE MWINUKA (DPS 1)- MJUMBE
- MIRADI YA CHAMA
Miradi hiyo ilikuwa kama ifuatavyo:
- UUZAJI WA T-SHIRT ZA KUVUTIA ZENYE KIWANGO KINACHOWEZA KUTOLEWA NA KILA MWANA CHAMA
- UTENGENEZAJI KALENDA NA KUZIUZA KWA WANACHAMA NA WATU WENGINE KAMA VILE WAFANYAKAZI NA WANAFUNZI WENGINE.
- KUUZA MORTAL AND PESTLE KWA DPS I
- KUTENGENEZA JARIDA LA TAPSA
- ZIARA YA MAJIFUNZO:
MUDA: NI KATI YA MWEZI WA 9-12 AU JAN 2016
GHARAMA: ZITAFUATILIWA
- KIWANDANI ( NDANI na NJE YA IRINGA)
- MSD ( IRINGA)
- MASHAMBANI ( TANGA)
- BONANZA-KATIBU
Hii
itafanyika mara tu baada ya kutoka likizo.
LENGO:
- KUWAKARIBISHA MWAKA WA KWANZA 2015/16
- KUPATA PESA KWA AJILI YA ZIARA YA MAJIFUNZO-KIWANDANI.
HOW? KUPITIA WADHAMINI/ WAFADHILI WATAKAO KUWA
TAYARI.
Ilikuwa ni:
KUKUMBUSHANA UMUHIMU WA KULIPA ADA YA UANACHAMA (UONGOZI-M/KITI)
pia wajumbe walishauri:
- kuwepo na matembezi ya kutembelea sehemu mbalimbali kama mbuga za wanyama kwa ajili ya kuburudika.
- kuomba chuo kufanya shule ya Afya kutambulika katika jamii.
NB: KIKAO KITAKACHO FUATA KITAFANYIKA
MUHULA WA KWANZA WA MASOMO 2015/16.
HITIMISHOMwisho wa kikao mwenyekiti aliitimisha kwa maneno machache kisha tulipata sala kutoka kwa katibu wa chama.
No comments:
Post a Comment